Kipapapana

Kipapapana ni lugha ya Kiaustronesia nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wapapapana. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kipapapana imehesabiwa kuwa watu 120. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kipapapana iko katika kundi la Kioseaniki.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search